Mtunzi: Paul Senyagwa
> Mfahamu Zaidi Paul Senyagwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paul Senyagwa
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Paul Luka
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 4
Download Nota Download MidiSalamu mama salamu, mtakatifu wa Mungu, uliyemzaa Mfalme, mfalme mwenye kutawala, mwenye kutawala mbingu na Dunia milele na milele.