Ingia / Jisajili

Salamu Maria

Mtunzi: LINUS.K.KANDIE
> Mfahamu Zaidi LINUS.K.KANDIE
> Tazama Nyimbo nyingine za LINUS.K.KANDIE

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Kandie Linus

Umepakuliwa mara 68 | Umetazamwa mara 203

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu Maria, salamu Maria, sisi wanawako twakusalimu. Salamu Maria, salamu Maria sisi wanawako twakusalimu. 1.Waridi lenye fumbo ni wewe Mama Sanduku la agano ni wewe Mama. 2.Malkia wa mababu ni wewe Mama Malkia wa Amani ni wewe Mama. 3.Mnara wa Daudi ni wewe Mama Nyota ya asubuhi ni wewe Mama. 4.Twakukimbilia Mama Maria Mama wewe ni mwombezi wetu Mama tuombee kwa Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa