Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 2,704 | Umetazamwa mara 6,699
Download Nota Download MidiKiitikio.
Sauti ya Baba ilitoka katika wingu jeupe ikasema
(huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye msikieni yeye)x2
Mashairi.
1a)Yesu alipobadilika sura wakatokewa na Musa na Elia wakinena naye
b)Petro akamwambia Bwana Yesu Bwana ni vizuri sisi vizuri sisi kuwapo hapa
2a)Ukitaka nitafanya vibanda vitatu kimoja chako, cha Musa na kimoja Elia
b)Alipokuwa akisema hayo tazama wingu jeupe wingu likawatia uvuli.
3a)Wanafunzi waliposikia hayo wakaanguka kifudifudi
b)Yesu akaja akawaambia inukeni msiogope.