Ingia / Jisajili

Ee Bwana tuoneshe rehema zako

Mtunzi: Gabriel D. Ng'honoli
> Mfahamu Zaidi Gabriel D. Ng'honoli
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel D. Ng'honoli

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gabriel D. Ng'honoli

Umepakuliwa mara 228 | Umetazamwa mara 1,150

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana tuoneshe rehema zako utupe wokovu wako, na nisikie atavyposema Mungu Bwana maana amewaambia watu wake kwa Amani, fadhili na haki zimekutana haki na amani zimebusiana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa