Ingia / Jisajili

Sekwensia Kristu Paska Yetu

Mtunzi: Fr.Xavery Ndomba

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 11,212 | Umetazamwa mara 16,202

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Christian Haule Mar 30, 2024
Iko vizuri pongezi kwa mtunzi.

Erasto Mikao Mar 26, 2024
Tunashukuru Sana Sikwensia Hii Tunaomba Muendelee Kutuletea Nyimbo Mpya Nzuri Zaidi

Mukamba Ngereza Donatien Aug 05, 2016
Sitafuti kuonyesha kosa lolote,bali natamani nami pia kuwa mwanamziki. Nilifunzwa siku ndogo mziki lakini sikuyaelewa kweli vizuri. Napatikana Inchini Congo(DRC),jimbo la Maniema,diosezi ya Kindu,parokia ya mwenyi heri Anualite. Asante!.

Toa Maoni yako hapa