Ingia / Jisajili

Sema Neno Tu!

Mtunzi: Rodgers Agunga
> Mfahamu Zaidi Rodgers Agunga
> Tazama Nyimbo nyingine za Rodgers Agunga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Rodgers Agunga

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 78

Download Nota
Maneno ya wimbo
Sema neno Bwana wangu sema neno tu na roho yangu ee Bwana hakika itapona. 1: Sistahili Bwana uingie kwangu (bali) neno la kinywa chako (Bwana) litanipa uzima 2: Ninakuonea kiu Bwana wangu (kama) ayala aonavyo (naye) kiu mito ya maji 3: Ninayainua macho yangu kwako (mimi) nitazame ee Bwana wangu (na) unipe heri yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa