Mtunzi: Titus Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Titus Nducha
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 410 | Umetazamwa mara 1,493
Download Nota Download MidiShamba la Mizabibu la BWANA×2
Ndilo nyumba ya Israeli ndilo (nyumba) ya Israeli.×2
1.Ulileta Mzabibu kutoka Misri ukawafukuza mataifa ukaupanda.
2.Kwanini umezibomoa kuta zake, wakuchuma wote wapitao njiani.
3.Basi hatutakuacha kwakurudi nyuma, utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.