Ingia / Jisajili

Shangwe Za Noel

Mtunzi: Ray Ufunguo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ray Ufunguo

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: David Mwigani

Umepakuliwa mara 11,497 | Umetazamwa mara 12,803

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Patrick Kyalo Dec 13, 2024
Kazi safi Bwana Ray

barakha Oct 11, 2024
asante kwakututumia huu wimbo

Florian Alex Jul 28, 2024
Hongera kwa kazi nzuri mkuu,naomba utuwekee na nyimbo zingine kama "mkazae matunda mema " tupate kuuinjilisha vyema

Pius Joseph lupamba Feb 07, 2024
Hongera kwa kazi nzuri mwalimu na doctor wa mziki! Mungu akutie nguvu! Tunaomba pia ule wa Ashukuliwe mwenyezi na Ngome imara?

Niwamanya Gabriel Rwamashaka Nov 22, 2023
Wimbo huu Ni mzuri Sana,tuwekee na ule wa "ASHUKURIWE MWENYEZI",nao Ni mzuri Sana lakini hujauweka hapa Swahili music

Patrick Jingu Nov 06, 2023
Hongera sana ndugu Ray Ufunguo kwa nyimbo nzuri. Naomba pia utuwekee hapa wimbo wako mzuri wa Ashukuriwe Mwenyezi

Eddy Mtewele Sep 26, 2022
Huu ni utunzi mzuri saana wa Ray, Mungu ambariki sana katika kazi zake.

Toa Maoni yako hapa