Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Kwaresma | Juma Kuu
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 1,798 | Umetazamwa mara 3,347
Download NotaSisi lakini inatuasa kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana Wetu,fahari juu ya msalaba wa YESU kristu.
1.Sisi lakini inatupasa kuona(fahari)fahari juu ya msalaba Wa Kristy.
2.Yeye ni wakovu uzima na ufufuo (wetu) nasi tumeokolewa nakusalimisha.
3.Wata kao enenda kwa imani hi-yo (amani) amani na baraka viwe juu yao.
4.Na tangu sasa mtu asinitabisha(kwa manana) mwilini mwangu Nina chapa zake yesu.