Mtunzi: Martias Benard Babu
> Tazama Nyimbo nyingine za Martias Benard Babu
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,587 | Umetazamwa mara 4,137
Download Nota Download MidiSheria yako naipenda na ipenda mno ajabu x2, naipenda (mno) sheria yako sheria yako naipenda ajabu x2
Mashairi:
1. Bwana ndiye aliyefungu langu, nalisema kwamba nitayatii, nitayatii maneno yako.
2. Sheria ya kinywa chako ni jema, kwangu maelfu ya dhahabu na fedha, sheria ya kinywa chako ni njema.
3. Nakuomba fadhili fadhili zako, ziwe faraja kwangu sawa na ahdi, na ahadi yako mtumishi wako