Ingia / Jisajili

Shinda Nami Ee Yesu Wangu

Mtunzi: G.s Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za G.s Masokola

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 7,080 | Umetazamwa mara 8,224

Download Nota
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Yohana elia otalo Oct 07, 2021
wimbo mtamu sana

Edwin Mayaba Nov 01, 2020
Wimbo wenye hisia kali sana. Utamu wake haupimiki. Asante mtunzi.

Phaustine Anthony Sep 22, 2020
Kwakweli ni wimbo mtamu sana, Mungu azidi kujifunua kwa wanadamu ili tuzidi kumjua

Nesphory Ntuyahaga Sep 20, 2020
Wimbo mzuri sana. Ashukuriwe Mungu aliyekufunulia kipawa hiki kikubwa.

Baltasar Temu Apr 17, 2020
Wimbo huu mzuri sana. Nampongeza mtunzi na kumshukuru Mungu kwa karama alizomgawia Huyu mtunzi

THOMAS OMAHE MWITA Jan 02, 2020
Nampongeza aliyefikiria kuanzisha hi forum, sasabu tunanufaika na nyimbo nakulitanga neno la Mungu kwa kuimba!!!

Toa Maoni yako hapa