Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma
Umepakiwa na: Thadeo Mluge
Umepakuliwa mara 384 | Umetazamwa mara 1,792
Download Nota Download MidiShomoro naye amejionea nyumba na mbayuwayu amejipatia kiota alimoweka makinda yake.x2
1. Alimoweka makinda yake kwenye madhabahu yake.
2. Ee Bwana Bwana wa majeshi na Mfalme na Mungu wangu.