Mtunzi: Beatus Manota Idama
> Mfahamu Zaidi Beatus Manota Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus Manota Idama
Makundi Nyimbo: Anthem | Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 31
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 15 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 15 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 15 Mwaka C
SHOMORO NAYE AMEONA NYUMBA
Shomoro (shomoro) naye / Ameona (ameona) nyumba;
Na mbayuwayu amejipatia kioto, kioto; alipoweka makinda yake kwenye madhabahu zako; (Ee Bwana Mungu wa majeshi) Mfalme wangu na Mungu wangu, heri wakaao nyumbani mwako, watakuhimidi daima x2