Ingia / Jisajili

Shukrani Kwa Mungu

Mtunzi: Pius Kalimsenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Kalimsenga

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,741 | Umetazamwa mara 7,086

Download Nota
Maneno ya wimbo

Basi furaha yangu imetimia, mimi nitakusifu wewe peke yako Mungu wangu wewe ndiwe Baba uliyeniumba hakuna yeyote aliye kama wewe 
Sala na dua yangu isikie, nikiijongea meza yake ee Bwana Mtakatifu nikiinulia kwa mikono yangu ha moyoni mwangu ni shukrani kwa Mungu mtenda makuu.

  1. Ee Bwana uniongoze nisiwe kwazo kwa watu, utumishi wangu usilaumiwe.
     
  2. Ee Bwana uisikie sauti ya dua yangu, kwa nyakati zote unisaidie.
     
  3. Bwana ni nguvu na ngao katika maisha yangu, moyo wangu umemtumainia.
     
  4. Ee Bwana uhimidiwe kwa kuwa umesikia, sala na maombi ya mtumisi wako. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa