Ingia / Jisajili

Shukrani Ya Moyo

Mtunzi: Africanus A.N
> Mfahamu Zaidi Africanus A.N
> Tazama Nyimbo nyingine za Africanus A.N

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Paschal VK PAVEKO

Umepakuliwa mara 4,541 | Umetazamwa mara 4,733

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Renatha pius Aug 26, 2024
Pongezi kwa matunzo hakika ni kazi nzuri na niwimbo mzr tunawashukru Sana wanakwaya kwa kutuinjilisha kwa nyimbo nzuri na tamu Sana mzidi kubarikiwa Sana

Benedicto January Feb 15, 2023
Wimbo n mzuri sana sana Ila Una consecutive 4th dah mpaka unasikitisha. Mtunzi ajifunze Kwa kina taratibu Za kutunga Ila wimbo n mzuri sana

Gosbert Oscar Dec 05, 2022
Wimbo umenibariki Sanaa, hongera Sanaa ndugu Africanus endelea kuiwakilisha vema Kasulu yetu katika ulimwengu huu wa Swahili music notes, but kama ukiweza naomba unisaidie namimi apa wapi ninaweza pata kujifunza Zaid kuhusu mziki, kama unaweza nisaidia ata online kanuni za utunzi na mambo mengine kuhusu mziki, au kama kuna kitabu unafaham kinaweza kunisaidia, nisaidie kukipata ata Kwa kuinitumia au uniambie nikidownload mtandaoni, Wako katika utume wa kwaya Gosbert Oscar Nyansha Kasulu, nakutakia utume mwema

Toa Maoni yako hapa