Ingia / Jisajili

Sifa Kwa Bwana

Mtunzi: Erneuerten.g Harm By W.s Bennet

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 4,649 | Umetazamwa mara 9,447

Download Nota
Maneno ya wimbo
  1. Sifa kwa Bwana kwa mfalme Mwenyezi milele
    Kwani aleta faraja na neema milele
    Usimsahau wala usimdharau anatupenda daima

     
  2. Sifa kwa Bwana anaye tawala dunia,
    Anatulisha na kutuongoza vizuri, 
    Usimsahau..............................
     
  3. Sifa kwa Bwana anakubariki hakika,
    Akunyoshea mapendo kutoka mbingun
    Usimsahau.....................................
     
  4. Sifa kwa Bwana  na sifa kwa jina la Bwana
    Kila ulimi na kila kiumbe kimsifu,
    Usimsahau..................................


Maoni - Toa Maoni

Salekwa C.S.Sp. Feb 13, 2021
Hongereni sana kwa mziki huu Mtakatifu

Charles May 23, 2017
Iko Vizuri

Toa Maoni yako hapa