Ingia / Jisajili

Sifa Kwako

Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 703 | Umetazamwa mara 3,048

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sifa kwako Mtakatifu Thomasi mtume x 2

au

Sifa kwako Mtakatifu Maria Goreth x 2

  1. Unaiombea Jumuiya yetu (jamani) sifa kwako mtakatifu Thomasi Mtume.
    Hata sasa tunamshukuru Mungu (kweli) sifa kwako mtakatifu Thomasi Mtume.
     
  2. Utuimarishe katika utume (we-tu), sifa kwako Mtakatifu Thomas Mtume.
    Wa kuta-ngaza Neno lake Mungu (po-te), Sifa kwako Mtakatifu Thomasi mtume.
     
  3. Na uwaombee viongozi wetu (wo-te), Sifa kwako Mtakatifu Thomasi mtume,
    Na uliombee na Taifa letu (Amani), sifa kwako Mtakatifu Thomasi Mtume.
     
  4. Umetuombea Mafanikio (twasema), Sifa kwako mtakatifu Thomasi Mtume,
    Mungu ametupatia ne'ma nyingi, Sifa kwako Mtakatifu Thomasi mtume.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa