Ingia / Jisajili

Sifa Za Maria Mama Wa Mungu

Mtunzi: Lawrance Kameja
> Mfahamu Zaidi Lawrance Kameja
> Tazama Nyimbo nyingine za Lawrance Kameja

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: William Yohana

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 209

Download Nota
Maneno ya wimbo

Maria! Mama Maria! Maria Oooh! Mariiaaaa!


Maoni - Toa Maoni

Kelvin Gitari Feb 07, 2025
Wapendeza sana

Caro Feb 02, 2025
*SIFA ZA MARIA MAMA WA MUNGU* Maria, Mama Maria Mama Maria, uh Mama Maria Mama wa upendo mama Mungu Mama wa huruma mama wa Yesu Tuombee, Mama maria Ni nyota ya mashariki Bikira asiye na dhambi Ni mama wa mkombozi, Maria Ni mama mfariji wetu Ni mama msaada wetu Ni mama mwombezi wetu, Maria Tulizo ya nafsi zetu Mwombezi na mama yetu Sikia maombi yetu, Maria

Toa Maoni yako hapa