Ingia / Jisajili

Sifa Zako Maria

Mtunzi: N. Z. Blackman
> Tazama Nyimbo nyingine za N. Z. Blackman

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 731 | Umetazamwa mara 2,224

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NZ BLACKMAN

JAN 2003 DSM

Nitaimba sifa zako Ee mama Maria

Nitataja jina lako Ee mama Maria

Mama usiye na doa mama wa mwokozi wetu nitaimba nitasifu jina lako mama x2

1. Malkia wa amani Bikira Maria msaada wa wakristo, Bikira Maria ninafurahia nikiziimba sifa zako

2. Uaridi lenye fumbo Bikira Maria chombo cha ibada ewe Bikira Maria ninafurahia nikiziimba sifa zako

3. Na wana amani nikitaja jina lako tena nafurahi kusikia jina lako ninarukaruka nikisikia wimbo wako

4. Ninafarijika nikitaja jina lako najawa furaha nikiimba sifa zako ninarukaruka nikisikia wimbo wako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa