Ingia / Jisajili

Sijui Njia Wewe Waijua

Mtunzi: J. B. Dykes

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,771 | Umetazamwa mara 5,694

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Shedrack Apr 19, 2024
Sijui njia wewe waijua Kwa hiyo moyo unatulia Ni bure hata nikihangaika Mchana kutwa hata na usiku Wewe we wajua njia Mchana Na umekwisha tengeneza vyote Nakushukuru kwa upendo wako Wanipenda kwa huruma yako Upepo ukivuma wwaujua Wautuliza tu huchelewi Hunidanganyi na mimi nangoja Wewe wajua njia yatosha

D Ndyamukama Dec 11, 2018
Ni wimbo mzuri sana. Mchungaji mmoja aliweka utaratibu kuwa uimbwe kila Jumapili. Mimi uuimba kila siku. Pia nimeandika lyric kwa lugha ya Kihaya. Natafuta kwaya ya kuuimba kwa lugha hiyo.

Toa Maoni yako hapa