Mtunzi: Respiqusi Mutashambala Thadeo
> Tazama Nyimbo nyingine za Respiqusi Mutashambala Thadeo
Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: respiqusi mutashambala
Umepakuliwa mara 1,802 | Umetazamwa mara 5,471
Download Nota Download MidiSIKU HII NDIYO ALIYOIFANYA BWANA
Zab.118:1-2, 16-17, 22-23 (k) 24 na Respiqusi M. Thadeo
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia, tutashangilia, tutashangilia na kuifurahia na kuifurahia x2
1. Aleluya, Mshukuruni Bwana kwakuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele. Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake fadhili zake ni za milele.
2. Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, Sitakufa sitakufa bali nitaishi. Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
3. Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa Bwana Nalo ni ajabu machoni petu.