Ingia / Jisajili

Siku Hii Ndiyo Aliyoifanya Bwana

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Samwel Abado

Umepakuliwa mara 3,190 | Umetazamwa mara 8,593

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia x 2

  1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.

  2. Israeli na aseme ya kwamba fadhili zake, ya kwamba fadhili zake ni za milele.

  3. Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.

  4. Sitakufa sitakufaaaaa bali nitasimulia, nitayasimulia matendo ya Bwana.

  5. Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu jiwe kuu la pembeni.


Maoni - Toa Maoni

Andrew kigora May 20, 2024
Mtunzi yupo vzr azidi kuongea ubol wa Nota tu...

Toa Maoni yako hapa