Ingia / Jisajili

Siku Ya Ubatizo Wangu

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 24,499 | Umetazamwa mara 32,013

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Robert Kapsowe Mar 19, 2019
Wimbo nzuri, nilisikia mara ya kwanza ukiimbwa na kwaya ya Parokia ya Maria Mama Mungu Kabarnet Kenya

John Musyoka Apr 23, 2018
Shukrani sana....Huu wimbo ni mzuri sana unakumbusha ahadi tulizomhaidi Mungu wetu siku ya Ubatizo wetu..Mungu akuzidishie mengi

John Musyoka Apr 23, 2018
Shukrani sana....Huu wimbo ni mzuri sana unakumbusha ahadi tulizomhaidi Mungu wetu siku ya Ubatizo wetu..Mungu akuzidishie mengi

Viatory Magesa Apr 11, 2017
Mziki mzuri sana,unatafakarisha na kuiburudisha nafsi yangu,hongereni sana na mmbarikiwe

Toa Maoni yako hapa