Ingia / Jisajili

Sinodi Moshi

Mtunzi: Lazaro Magovongo
> Mfahamu Zaidi Lazaro Magovongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Lazaro Magovongo

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Patrick Mndeme

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Sinodi Moshi, Sinodi Moshi katika Kristo tusikilize natufanye yote upya. x2

STANZA

1. Ee Mungu tujalia Neema na Baraka zote, Ili tuweze kusafiri pamoja

2. Ee Mungu tujalie Roho ya toba ndani yetu, Ili tuweze kuwa watu wapya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa