Mtunzi: Fr Gideon Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr Gideon Kitamboya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 473 | Umetazamwa mara 2,259
Download NotaSisi sote ni kondoo wako sisi sote ni kondoo wako ewe Kristu mchungaji mwema utulishe Bwana x2
Mwili wako ni chakula kweli damu yako ni kinywaji kweli tupe Bwana lishe takatifu tupate uzima
1. Ni mkate uletao kweli uzima wa roho tupe Bwana lisho takatifu tupate uzima
2. Ni kinywaji kiletacho kweli uzima wa roho tupe Bwana damu takatifu tupate uzima
3. Tuna kuungama Kristu Bwana katika maumbo ya mkate pia na divai ulimojiweka
4. Tendo hili takatifu Bwana litupe neema ya kuwa raia miongoni mwao wa mbinguni