Mtunzi: Emmanuel Njobole
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Njobole
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 1,316 | Umetazamwa mara 3,362
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Sisi ni mavumbi, sisi ni mavumbi. Na mavumbini, na mavumbini, na mavumbini tutarudi.
MAIMBILIZI
1.Mwanadamu kumbuka wewe, umavumbi, umavumbi, na mavumbini utarudi
2. Tutubu na kuiamini, injili ya Bwana, Yesu Kristo, tuishi milele yote
3. Tugeuze mwenendo wetu, kwa majivu haya, tunayopakwa, tutende yaliyomema