Ingia / Jisajili

Sitachoka Kumwimbia Mungu

Mtunzi: Fabian John
> Mfahamu Zaidi Fabian John
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabian John

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Fabian Cosmas

Umepakuliwa mara 58 | Umetazamwa mara 104

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sitachoka kumwimbia Mungu wangu aliyeniumba mimi. Nitazitangaza sifa zako Mungu, nitayasimulia yote uliyoniamuru, nitatembea mataifa yote.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Alfred Dec 02, 2022
Hongera kaka kwa kaz iliyotukuka

Toa Maoni yako hapa