Mtunzi: Valence Tizihwa Mazagwa
> Mfahamu Zaidi Valence Tizihwa Mazagwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Valence Tizihwa Mazagwa
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Antony Chacha
Umepakuliwa mara 1,790 | Umetazamwa mara 5,626
Download Nota Download MidiSala yangu naipae mbele yako kama moshi wa ubani. x2
Nakuinuliwa kwa mikono yako (iwe) kama sadaka ya jioni x2
Bass & Tenor
1.Ee Mungu uisikilize sala yangu na kilio changu Bwana kikufikie.
2. Ee Mungu unioneshe uovu wangu na unitakase dhambi za-ngu zote.
3. Ee Mungu ninakuomba kwa unyenyekevu na sadaka yangu Bwanaikupendeze