Mtunzi: Venant Mabula
> Mfahamu Zaidi Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,916 | Umetazamwa mara 5,512
Download NotaKiitikio
Sogea jongea kwenye karamu ya Bwana, na upate uzima x3
Mashairi
1. Ni mwili wake na damu yake,mwokozi wetu tukampokee.
2. Akaa nasi tena yu hai,mwokozi yesu atulinda vema.
3. Karibu mwangu karibu Bwana,mwokozi wangu nakukaribisha
4. Ninakupenda nakushukuru,Ee Yesu wangu ndiwe kinga yangu.
?5. Utubariki Ee Yesu kristu,utujalie tuwe na imani.