Ingia / Jisajili

St. Marys Mass Bomet Girls

Mtunzi: Abed MoHeA
> Mfahamu Zaidi Abed MoHeA

Makundi Nyimbo: Misa | Mwanzo | Shukrani

Umepakiwa na: Abedy MoHeA

Umepakuliwa mara 96 | Umetazamwa mara 154

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 2 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UTUKUFU Utukufu kwa Mungu, Utukufu (juu mbinguni) Na amani duniani, Kwa watu watu wenye mapenzi mema x2 1. Tunakusifu tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza. 2. Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako wako Bwana mkuu 3. Naye Bwana Yesu Mwana wa pekee, ‘ye mwana kondoo wake Mungu Baba 4. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, utuhurumie utusikilize. 5. Mwenye kuketi kuume kwa Baba, Pekee yako mkuu pekee yako Baba 6. Pamoja na roho roho Mtakatifu, Ndani yake Baba unatukuzwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa