Ingia / Jisajili

Taabu Ya Mikono Yako Hakika Utaila

Mtunzi: Maguzu,p. S
> Mfahamu Zaidi Maguzu,p. S
> Tazama Nyimbo nyingine za Maguzu,p. S

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alpha Claudius

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 14

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Taabu ya Mikono Yako Hakika utailax2 1. Heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia yake. Heri yao wale wamchao Bwana, watakuwa wenye heri na baraka tele. 2.Mkeo atakuwa kama mzabibu, uzaao vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako. 3. Tazama atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana, Bwana atakubariki toka Sayuni. Uone uheri wa Yerusalemu, siku zote za maisha maisha yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa