Ingia / Jisajili

Tanzania Nchi Yangu

Mtunzi: Mweyunge Revocatus
> Mfahamu Zaidi Mweyunge Revocatus
> Tazama Nyimbo nyingine za Mweyunge Revocatus

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: Revocatus Mweyunge

Umepakuliwa mara 299 | Umetazamwa mara 952

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nchi yangu Tanzania nakupenda mno ajabu. 1. Mungu ametujalia amani umoja na mshikamano tuzilinde tunu hizo. 2. Muungano wetu tuhudumishe tuulinde na tuupende uishi milele yote. 3. Kiswahili lugha yetu ni nzuri adhimu tamu sana tuipende lugha yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa