Mtunzi: V. B. Renatus
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,722 | Umetazamwa mara 4,293
Download Nota Download MidiTawala Ee Kristu mfalme (tawala Kwetu) Tawala Ee Kristu mfalme tawala
Tawala tawala tawala tawala tawala Kristu Mfalme milele x2
1. Tawala pote kwa enzi dumisha upendo wako amani yako itufikie
2. Upendo wako ukae ndani ya mioyo yetu nuru yako ituangazie
3. Wewe ni faraja yetu wewe ni uzima wetu utujalie neema zako
4. Unatufunza njiazo unatuongoza vema kaa nasi milele milele