Mtunzi: Unknown
> Tazama Nyimbo nyingine za Unknown
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,690 | Umetazamwa mara 4,870
Download Nota Download MidiTawala tawala mwana wa Maria tawala tawala tawala Mwana wa Maria Mwana Maria tawala
Atawala watoto tawala vijana tawala wazee tawala tawala tawala Mwana wa Maria tawala x2
1. Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala familia zetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a
2. Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala tawala jumuia zetu wala na vitu vyote vilivyomo tawala a
3. Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala parokia zetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a
4. Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala na majimbo yetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a
5. Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala na Bara la Afrika tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a