Mtunzi: Deus V.Chicharo
> Mfahamu Zaidi Deus V.Chicharo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deus V.Chicharo
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: DEUS VITUS
Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,975
Download Nota Download MidiTAZAMA ANAKUJA
Tazama anakuja mtawala Bwana,mtawala mwenye ufalme mkononi mwake na uweza na enzi
1.Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako umpe na mwana wa mfalme haki yako.
2.Na awe na enzi toka bahari hata bahari wakaao jangwani na wainame mbele yake.
3.Adui zake na walambe mavumbi Naam na wafalme wote watamwabudu,na mataifa yote wamtumikie.