Mtunzi: Fr. A. Ndesario
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. A. Ndesario
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 14,031 | Umetazamwa mara 21,640
Download Nota Download MidiFR. A. NDESARIO
1. Tazama anakuja Kuhani - Kuhani mkuu
Alama na ishara ya Kristu - Chunga kondoo
Chimbuko ni umoja Chimbuko ni upendo Matunda ni amani
Chimbuko ni umoja Chimbuko ni upendo Matunda ni amani
Ni wewe kuhani milele umetakaswa upo na kundi chunga kondoo.
2. Msalaba mabegani wabeba - Kuhani Mkuu
Alama na ishara ya pendo - Chunga kondoo
3. Baraka sisi utupatie - Kuhani Mkuu
Kwa wema uliongoze kundi - Chunga kondoo
4. Halifa halisi wake Kristu - Kuhani Mkuu
Dunia yote waifundisha - Chunga kondoo
5. Njoo Tanzania utuvuvie - Kuhani Mkuu
Hekima zako nazo baraka - Chunga kondoo