Ingia / Jisajili

Tazama Bwana Roho Yangu

Mtunzi: Paul W. Shimbala
> Mfahamu Zaidi Paul W. Shimbala

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Emmanuel Shimbala

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 72

Download Nota
Maneno ya wimbo
Tazama Bwana, Roho yangu yakuhitaji (Ee Mungu) uzuri wako na utakatifu vikae ndani yangu mimi x2 Nitazame Ee Bwana wangu, unitue mzigo wangu, najua mimi mdhaifu ninaomba Baraka zako x2 1. Nakuomba uwe kinga yangu, na pia uwe mwalimu wangu, nifundishe kushika njia zako Bwana, ili Roho yangu iwe salama. 2. Nimeyakiri maasi yangu, nimekukosea Mungu wangu, ninakuomba nisamehe dhambi zangu, ili Roho yangu iwe salama. 3. Wewe ndiwe kimbilio lanu, wewe ndiwe msaada wangu, Ninakuomba uujaze moyo wangu, na upendo wako ukae nami. 4. Chakula chako kitakatifu, mwili na damu yako Ee Bwana, Nakuomba unilishe chakula hiki, ili Roho yangu iwe salama.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa