Mtunzi: Gelard M. Lugalya Biseko
> Mfahamu Zaidi Gelard M. Lugalya Biseko
> Tazama Nyimbo nyingine za Gelard M. Lugalya Biseko
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Paul Biseko
Umepakuliwa mara 379 | Umetazamwa mara 1,365
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
tazama mungu ndiye anayenisaidia (nisaidia) Bwana ndiye anaeitegemeza nafsi yangu.
1.kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu ee Bwana nitalishukuru jina lako maana ni jema
2.Ee mungu kwa jina lako jina lako uniokoe kwa uwezo wako unifanyie bwana hukumu.
3.Ee mungu uyasikie yasikie maombi maombi uyasikilize maneno ya kinywa changu kinywa changu.