Ingia / Jisajili

Tazama Mungu ndiye anayenisaidia

Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 771

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Mungu ndiye anayenisaidia Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu x2 1. Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu ee Bwana nitalishukuru jina lako maana ni jema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa