Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 1,035 | Umetazamwa mara 3,231
Download Nota Download MidiTAZAMA NALETA SADAKA
(Tazama naleta sadaka yangu) Tazama naleta sadaka yangu Tazama naleta sadaka yangu kwako Bwana Mungu, upokee sadaka yangu.
Mashairi.
1. Umenijalia riziki ya wiki nzima, upokee sadaka yangu.
2. Unanilinda siku zote ninakushukuru, upokee sadaka yangu.
3. Umeniepusha na magonjwa ninakushukuru, upokee sadaka yangu.
4. Pokea Baba sadaka yangu ee Bwana, upokee sadaka yangu.