Ingia / Jisajili

Tazama Ninakuja

Mtunzi: Gustav G. Hofi
> Mfahamu Zaidi Gustav G. Hofi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gustav G. Hofi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gustav Hofi

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 32

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama ninakuja ee Yesu mwema. Tazama ninakuja kwenye karamu yako. Naomba unilishe kwa mwili na uninyweshe kwa damu yako ili niweze kuushiriki ule uzima wa milele. Nijalie niungane nawe ee Yesu mwema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa