Ingia / Jisajili

Tazama tazama

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Juma Kuu

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 447 | Umetazamwa mara 1,522

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama tazama tazama tazama mungu ndiye anaye nisaidia tazama tazama tazama tazama bwana ndiye anaye nitegemeza nafsi yangu. SHIRI;.kwako ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu e bwana nitalishukuru jina lake maana Ni jema. (2) E bwana usikilize sikiliza maombi yangu ebwana uyasikilize maneno ya kinywaji change. (3) Ebwana usikilize sikiliza na Sala yangu ebwana usijitenge nikuombapo neema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa