Ingia / Jisajili

Tazama Wema Wa Mungu

Mtunzi: Julius James
> Mfahamu Zaidi Julius James
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius James

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Julius James

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 3

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tazama wema wa Mungu maishani mwetu, wema wake wa ajabu hauna mfano.

Tazama Mungu wetu habagui tena sote atukirimia mema ndiye msaada wetu siku zote, hivyo njoni tumwimbia bwana Mungu tumpe sifa heshima tumtukuze daima namilele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa