Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 2,439 | Umetazamwa mara 4,502
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka C
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana (mtakeni Bwana na nguvu zake mtakeni Bwana na nguvu zake utafuteni uso wake siku zote)X2
1. Mshukuruni Bwana liitieni jina lake wajulisheni watu matendo yake wajulisheni watu matendo yake
2. Mwimbieni Bwana mwimbieni kwa zaburi zitafakarini ajabu zake zote jisifuni kwa jina lake takatifu
3. Yeye ndiye Bwana yeye ndiye Mungu wetu duniani mwote mna hukumu zake duniani mwote mna hukumu zake