Ingia / Jisajili

Toka Udongo Wa Utelezi

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 303 | Umetazamwa mara 2,140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Toka udongo wa utelezi, akasimamisha miguu yangu, akasimamisha miguu yangu mwambani x 2

  1. Akanipandisha toka shimo, shimo la uharibifu, toka udongo wa utelezi, akaziimarisha hatua zangu.
     
  2. Nalimngojea Bwana kwa subira, akaniinamia, akakisikia kilio changu akatia wimbo mpya kinywani mwangu.
     
  3. Ndiwe msaada wangu na wokovu wangu ee Mungu nami ni masikini na mhitaji, Bwana nitunze unisaidie hima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa