Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,432 | Umetazamwa mara 4,590
Download Nota Download MidiTokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa x 2
1. Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, na roho yangu imemfurahia mwokozi wangu.
2. Kwakua ameutazama unyenyekevu wa mtumishi wake na jina lake takatifu.
3. Na rehema zake zadumu vizazi na vizazi kwa hao wanao mcha.