Mtunzi: Chando Mathias
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Gosbert Kulangesiwa
Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 33
Download Nota
Maneno ya wimbo
Totus tuus totus tuus totus tuus Mimi Ni wako kabisa ×2
1. Bwana Mimi nimejitoa kuwa wako daima nakuomba Mungu wangu unipokee Mimi mwanao.
2.Niushinde ubaya kwa wema nisilipize kisasi kwaadui zangu wote Mungu wangu unisaidie.