Ingia / Jisajili

Tu Watu Wake

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 266 | Umetazamwa mara 916

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake 1.Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote mtumikieni kwa furaha njoni mbele zake kwa kuimba. 2.Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake Tu watu wake na kondoo wa malisho yake. 3.Kwa kuwa Bwana ndiye mwema R6ehema zake ni za milee na uaminifu wake vizazi na vizazi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa