Ingia / Jisajili

Tubuni

Mtunzi: M. A. N Saragu
> Tazama Nyimbo nyingine za M. A. N Saragu

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,345 | Umetazamwa mara 6,030

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tubuni na kuiamini injili X6
Tubuni na kuiamini injili X6

  1. Wakati umefika na ufalme Mungu umekaribia , tubuni na kuiamini injili.
     
  2. Mwanadamu kumbuka kuwa u mavumbi wewe na mavumbini utarudi.
     
  3. Tugeuze mwendo wetu kwa majivu na gunia tufunge na kulia mbele ya Bwana.
     
  4. Kwa maana Mungu wetu ni mwingi wa rehema naye hutusamehe dhambi zetu.

Maoni - Toa Maoni

Kelvin Mwacha Mar 02, 2025
Wimbo Mzuri Sana wa Kutafakari Mwenyezi Mungu azidi kuikuza kazi hii njema na wabarikiwe wote walioshiriki katika Utenzi Huu Nipo TANGA

Toa Maoni yako hapa