Mtunzi: Samweli Jeremia Mkea
> Mfahamu Zaidi Samweli Jeremia Mkea
> Tazama Nyimbo nyingine za Samweli Jeremia Mkea
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 2,752 | Umetazamwa mara 7,521
Download Nota Download MidiKiitikio: Tufurahi sote katika Bwana tunapoadhimusha, sikukuu kwa heshima ya Watakatifu wote. X 2.
1. Malaika nao washangilia, sikukuu hii, nakumhimidi Mwana wa Mungu.
2. Furahini tena shangilieni, kwa kuwa ninyi, thawabu yenu ni kubwa Mbinguni
3. Malaika nao washangilia, kwa shangwe kuu, wanamtukuza Mungu Aleluya.